Sunday, January 6, 2013

TUSIWAPUUZE WANANCHI WA MTWARA : ZITO KABWE
Maandamano ya amani yaliyofanyika mjini Mtwara siku ya alhamis wiki hii yameibua hoja mbali mbali kutoka kwa viongozi, wananchi, vyombo vya habari na mjadala wa siku nzima kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook, twitter na JamiiForums. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ameita waandamanaji wapuuzi na Waziri wa Nishati na Madini amewaita watu hatari na

Monday, December 10, 2012

AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI MTWARA


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Bi Marry Nzuki  akitoe maelezo mafupi kuhusu ajali
iliyotokea maeneo ya  Bandarini hii leo majira ya saa tisa alasiri  hadi sasa amethibitisha
idadi ya waliopoteza maisha ni  watu wawili na majeruhi hadi muda huu ni watu sita ..

Ambulance likiwa linababeba miili ya marehemu mara baada ya kuokolewa
kwenye eneo la tukio 

Waandishi wa habari wakiwa wanaongea na Kamanda Nzuki mara baada ya
ajali kutokea 

Hili ni eneo la tukio amabapo ajali imetokea hayo ni magari maalumu yakijaribu kuondoa
 zege zito liliowafunika watu na kupoteza maisha papo hapo 

Huyu ni mmoja ya majeruhi wa ajali hiyo akiwa hospital ya Rufaa Mkoani Mtwara
(Ligula) hatukuweza kupata jina lake kwa haraka . 

Baadhi ya watu wakishuhudia ajali hiyo mbaya 

Majeruhi mara baada ya kufikishwa Hospittali kwa matibabu akiwa chumba cha
mapasuaji 
Sunday, November 25, 2012

MARAIS WA AFRIKA MASHARIKI WAIJADILI DRC


Mkimbizi wa Goma akiingia kambi ya Umoja wa Mataifa nje ya Goma
Wapiganaji mashariki mwa Congo walisonga mbele zaidi ndani ya ardhi iliyokuwa ikidhibitiwa na jeshi la serikali siku ya Alkhamisi.

Thursday, November 22, 2012

HII NDO CCM " KIKWETE ALONGA NA WANANCHI

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete

Mkutano Mkuu wa chama kinachotawala nchini Tanzania CCM unamalizika leo huko Dodoma, ambapo miongoni mwa mambo yaliyojitokeza katika siku ya mwisho hii leo ni suala la amani na katiba mpya hususan visiwani Zanzibar

IPO HAJA YA KUTANGAZA MAFANIKO YETU WATU WA ZANZNIBAR


Rais wa zamani wa Zanzibar ambaye amemaliza muda wake kama makamu mwenyekiti wa chama tawala nchini CCM hapo jana (13.11.2012) Amani Abeid Karume amejivunia mafanikio aliyosimamia visiwani humo wakati wa utawala wake.
Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Karume Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Karume

"TUNABADILI IMANI ZETU" WANAUME WA KIAFRIKA

Arbeitslose afrikanische Männer sitzen auf einer Mauer, Germa, Libyen
Pamoja na kwamba baadhi ya mila za Kiafrika zinataka mwanaume awe na watoto wengi na wa kiume kama mrithi, wanaume wa Afrika wameanza kubadilika kwa kuachana na mila hizo baada ya kutambuwa umuhimu wa uzazi wa majira.