Thursday, November 22, 2012

IPO HAJA YA KUTANGAZA MAFANIKO YETU WATU WA ZANZNIBAR


Rais wa zamani wa Zanzibar ambaye amemaliza muda wake kama makamu mwenyekiti wa chama tawala nchini CCM hapo jana (13.11.2012) Amani Abeid Karume amejivunia mafanikio aliyosimamia visiwani humo wakati wa utawala wake.
Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Karume Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Karume

Akizungumza na Aboubakary Liongo muda mfupi kabla ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa chama hicho cha CCM mjini Dodoma jana, Amani Karume amesema kuwa serikali ya umoja wa kitaifa na hali ya amani iliyokuwepo ni vitu anavyojivunia.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Amina Abubaka

No comments:

Post a Comment