Monday, December 10, 2012

AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI MTWARA


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Bi Marry Nzuki  akitoe maelezo mafupi kuhusu ajali
iliyotokea maeneo ya  Bandarini hii leo majira ya saa tisa alasiri  hadi sasa amethibitisha
idadi ya waliopoteza maisha ni  watu wawili na majeruhi hadi muda huu ni watu sita ..

Ambulance likiwa linababeba miili ya marehemu mara baada ya kuokolewa
kwenye eneo la tukio 

Waandishi wa habari wakiwa wanaongea na Kamanda Nzuki mara baada ya
ajali kutokea 

Hili ni eneo la tukio amabapo ajali imetokea hayo ni magari maalumu yakijaribu kuondoa
 zege zito liliowafunika watu na kupoteza maisha papo hapo 

Huyu ni mmoja ya majeruhi wa ajali hiyo akiwa hospital ya Rufaa Mkoani Mtwara
(Ligula) hatukuweza kupata jina lake kwa haraka . 

Baadhi ya watu wakishuhudia ajali hiyo mbaya 

Majeruhi mara baada ya kufikishwa Hospittali kwa matibabu akiwa chumba cha
mapasuaji 
No comments:

Post a Comment