| Maandamo yapata hamasa kubwa kwa watu wa Mtwara |
| Wananchi wakiwa katikati ya barabara wakiunga mkono maanadamo hayo |
| Vyombo vya usalama wa raia na mali zao walikuwa mstari wa mbele |
| Wananchi wakipewa maelezo na mwenyekiti wa maandamo hayo |
| Bendera za vyama mbalimbali zikipeperushwa kuashiria muungano |
| Eneo hili ni baadhi ya sehemu muhimu sana katika mkoa wa Mtwara |
| Maeneo ya Bima Mtwra wakielekea kunako viwanja vya Mashujaa |
| Wananchi wakisikiliza hoyuba mara baada ya Kufika viwanja vya Mashujaa |
No comments:
Post a Comment